Academic and Professional Consultations
Social economic platform found in Morogoro, Tanzania. Supporting 21st Skills, Knowledge and Competences for Economic Growth
Makamu wa Rais Samia Suluhu amehamia rasmi Dodoma.
Hii leo mapema, Makamu ra Rais Samia Suluhu amehamia rasmi mjini Dodoma ambako ndiko makazi rasmi katika kutimiza azma ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya kuhamia makao makuu ya nchi Dodoma.
0 comments: