Monday 18 December 2017

Mahakama Kuu ya Tanzania Imeamuachia huru Sheikh Issa Ponda.


Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam leo imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamuhuri kupinga Hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyomuachia huru Ponda.

0 comments: