Monday 18 December 2017

UCHAGUZI CHILE: PINERA ashinda Urais.

Mojawapo ya matajiri Chile, mfanyabiashara mhafidhina Sebastian Pinera, ameshinda duru ya pili ya uchaguzi wa urais jana Jumapili. Amejinyakulia karibu asilimia 50 ya kura zilizopigwa na kumshinda seneta wa mrengo wa kushoto ambaye pia ni mwandishi habari Alejandro Guillier kwa asilimia 10. Bwana Pinera ameahidi kuwapa raia wote Chile maisha mazuri zaidi. (BBC SWAHILI)

0 comments: