Thursday 14 December 2017

Karibu Halacom Tz

Karibu sana Halacom Tz. Kupitia blog hii, utaweza kupata habari za Kitaifa, kimataifa, michezo na burudanini, habari za biashara na dondoo muhimu za Elimu na Afya. Kupitia blog hii pia utanufaika na Sanuka na Tusua ambapo utapata kufahamu mambo mbalimbali ya kijasiriamali kupitia video za mahojiano na watu mbalimbali waliofanikiwa kimaisha kwa mbinu tofauti.
Pia kupitia blog hii, utakutana na Sokoni chap, ambapo utapata kuona bidhaa mbalimbali zinazouzwa na watu kupitia Halacom Tz ambae atasimamia suala zima la uhalali na usalama baina ya muuzaji na mnunuzi.
Kilimo Biashara(AGRIBUSINESS) ni sehemu muhimu katika Halacom Tz ambapo utapata kujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na kilimo cha kibiashara.

0 comments: