Mhe.
Rais John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombelezo nyumbani
kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.
Kangi Alphaxard Lugola aliyefiwa na Mkewe Kamishna Msaidizi wa Polisi
Mary Lugola ambaye alikuwa Afisa Mnadhimu Kikosi cha Polisi Reli
Tanzania.
Alifariki
dunia jana tarehe 01 Januari 2018 katika hospitali ya Rabinisia
Memorial Tegeta Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Msiba
upo Gerezani Railway Club Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.
0 comments: