Thursday 11 January 2018

Angalia Makonda na DC Happi walivyopost Picha za Mbowe


Jana January 9 2018 habari iliyotikisa kote nchini katika mitandao ya kijamii ni  kuhusiana na Rais John Pombe Magufuli kukutana na waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa.

Post ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aliyoipost usiku wa January 9 katika ukurasa wake wa instagram imeonekana ku-trend kwa kupata likes nyingi na comment katika kipindi cha muda mfupi.

RC Makonda amepost picha ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe na kuandika “Kaka yangu mpendwa anawatakia usiku mwema”
 POST YA MAKONDA.

 POST YA HAPPI

0 comments: