Academic and Professional Consultations
Social economic platform found in Morogoro, Tanzania. Supporting 21st Skills, Knowledge and Competences for Economic Growth
#Habari:Jeshi la polisi mkoa wa Mara kwa kushirikiana askari wa hifadhi ya taifa ya Serengeti ,linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuingia katika hifadhi hiyo na kuua Tembo wawili huku wakikutwa na meno manne ya Tembo pamoja na Bunduki mbili zikiwa na risasi 133.
0 comments: