Tuesday 2 January 2018

Manchester City yathibitisha Jesus kuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili

Manchester City imethibitisha kuwa mshambuliaji wake Gabriel Jesus atakuwa nje kwa wiki mbili.
Jesus aria wa Brazil aliumia goti wakati timu yake ilipoivaa Crystal Palace na kuambulia safe ya bila kufungana.

Mshambuliaji huyo alijikuta akimwaga chozi wakati wa safe hiyo baada ya kugundua kuwa ameumia.
Hivyo, City imesema ataendelea na matibabu akiwa nje ya uwanja kwa wiki mbili.

0 comments: