Monday 1 January 2018

Diego Costa Rasmi Atua Atletico Madrid.

Baada ya kuwa nje kwa muda mrefu, hatimaye straika Diego Costa ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Atletico Madrid akitokea Chelsea.

Costa ametambulishwa na kusema yuko tayari kuanza kazi klabuni hapo kwa mara ya pili.

"Nimeisubiri hii siku kwa muda mrefu, nimekuwa nikifanya mazoezi kwa nguvu lakini nimechoka kufanya mazoezi nataka kuanza kazi," alisema Costa.

0 comments: