Askofu
Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Followship (FGBF), Zachary Kakobe
amekanusha taarifa za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwamba kanisa
lake linakwepa kodi.
Akizungumza
leo Jumapili Februari 25, 2015 katika kanisa hilo lililopo Mwenge,
jijini Dar es Salaam Kakobe amewataka waumini wa kanisa hilo kuzikataa
taarifa hizo na kwamba zimejaa siasa,ni za kishilawadu
Kakobe
ametoa ufafanuzi huo zikiwa zimepita siku nne tangu TRA kutoa taarifa
ya uchunguzi katika kanisa hilo na kubaini mambo saba.
0 comments: